1.Maneno utamkaYo Yaweza tokea kama ulivyotamka. Mungu aliumba dunia kwa kutamka tu.KUNA NGUVU YA AJABU ndani ya tunacho sema na kuamini
2.Imani pia hutenda mambo makuu
3.Ukiamini 100%,na kisha kutamka kwa dhati 100% kuwa tutakufa kwa vile tumeona PAKA....usione ajabu yakatokea sambamba na imani yetu
4.Ili imani na tamko lifanye kazi ni sharti pawe na ukamilifu wa 100%
5. Yule jamaa (wa kwenye biblia)alikuwa na imani 100% kuwa nae anaweza kutembea kama yesu juu ya maji. lakini baada ya hatua chache imani ile ikapungua .....labda ikawa 99% hapo hapo akaanza kuzama.
6. Imani yako haijafika 100%, ukweli kuwa unawauliza watu kuwa itatokea ukafa au la ni dalili kuwa upo 50%....kama imani ya 99% haiwezi kutenda kazi je hiyo ya kwako ndogo????
kwa ajili hiyo uwe na na amani mpendwa, kwa uchache wa imani yako juu ya mambo hayo(paka....) imekusaidia HAKUNA BAYA LOLOTE LITAKALO KUKUTA.
NIMEYAANDIKA HAYA NIKITEGEMEA ULIKUWA HUNA LENGO LA KUFURAHISHA BARAZA TU.