Elections 2010 Kama Kweli JK ana ujasiri, AENDE MWANZA

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Ndugu wana CCM.

Naomba mumshauri ndugu JK aende Mwanza akazime moto.
 
Juzi Kinana alipokuwa anaongea star tv, alisema atakwenda huko!!

Kwa hali ilivyo lazima aende maana Mwanza had been his camp, i am not sure this time around!!
 
Moto gani tena? Si alikuwa huko? Na kawaahidi mambo kibao tu, jij la mwanza litakuwa kama singapore, au mmesahau mapema hivi,na sasa kuna moto gani tena huko?
 
Moto gani tena? Si alikuwa huko? Na kawaahidi mambo kibao tu, jij la mwanza litakuwa kama singapore, au mmesahau mapema hivi,na sasa kuna moto gani tena huko?

aende tu walau akakumbushie ahadi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…