Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Nimecheka kwa furahaa mpwa awesomi nyakati
 
Khomeini amejificha kwenye maandaki, anahesabiwa siku afuate swahiba zake!
 
Kupata vichekesho kama hivi andika

Pdidy2024
Kwendaa no 155777

Sio neta...unaemjua
Ni ushauri tu sio lazima. Akiendelea kukaidi basi ajiandae kuendelea kuchezea kichapo kila siku.

Sema kwa vile yeye familia yake kaihamishia Miami, ndomaana haumizwi na vifo vya familia za wenzake pale Israel.
 
Nimecheka kwa furahaa mpwa awesomi nyakati
Nisome tena na wakati naona kwa macho yangu mwenyewe jinsi Israel inavyoshambuliwa bila majibu!!
 
Khomeini amejificha kwenye maandaki, anahesabiwa siku afuate swahiba zake!
Anaejificha ni Netanyahu ambae nchi yake inashambuliwa kila siku. Ayatollah na raia wake hawajawahi kusikia ving'ora vya milipuko katika nchi yao.

Kwao wana uhakika wa kulala na kuamka salama kila siku.
 
Wewe nguruwe pori kweli. Nilivyosoma huu uzi nusu tuu nilijua wewe mjaliwa bikra 72

Iran hana uwezo wa kuipiga Israel hata kidogo zaid ya kurusha vibomu hewa
 
Wewe nguruwe pori kweli. Nilivyosoma huu uzi nusu tuu nilijua wewe mjaliwa bikra 72

Iran hana uwezo wa kuipiga Israel hata kidogo zaid ya kurusha vibomu hewa
Sina muda wa kukujibu we mnuka mdomo. Nyinyi ndio mnaowapa vijambio waisrael kwa sababu ya kutaka ofa ya kwenda mbinguni.

Ni mara ngapi Iran inafanya mashambulizi Israel mbwa koko wewe?
 
Ni muda sasa wa Ayatollah kuwashirikisha Afghanistan wale hii show ndio wataimudu wale wanaweza kutembea ata 20years nadhani afanye hivyo
Kama mlivyowaponza Lebanon saiv mnataka kuwaingia chaka Afghanistan?

Kwanini usiende wewe ukaongeze nguvu?
 
Ni suala la mida tu
 
Ninakushangaa sana unaposema Ayatollah hana wasiwasi wakati makamanda wake wengi wanauwawa na Israel huko Lebanon,Syria na Iraq, inaonyesha wazi wewe ni mgeni katika vita hii hivyo ulivyoandika umetuonyesha ni jinsi gani ulivyo mbumbumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…