Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

utofauti kati ya mtu mwenye Mungu na asiye na Mungu ni kwamba, mwenye Mungu hata angeonekana mdhaifu namna gani, lazima atashinda, asiye na Mungu hata angeonekana na nguvu namna gani, lazima atashindwa tena kwa aibu na fedheha kubwa. Hata Goliath mpalestina aliyekuwa anapigana na waisrael alitisha hadi amiri jeshi alitaka kukimbia, ila katoto kadogo tu kafugaji kanakoitwa Dauti, kalimpiga kwa jiwe tu.

Mungu yupo upande wako? ndio iwe hoja, kama jibu ni ndio, hata kama angekuwa marekani nenda kapigane naye. na katika hili, Mungu alishaahidi kuwa atakuwa na waisrael na hatawaacha. hivyo subirini tu matokeo, hata wao wanajua wameshashinda kwa sababu hii sio vita yao ya kwanza kwenye historia yao, Mungu ana historia nao ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…