Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Ukute hata kwenye mitihani huwa unajibu kwa kirefu hivi halafu unashangaa umekosa.

Kwanza Lecturer wengine wakishaona jibu refu hivyo huwa hawasomi maana wanajua POROJO TU
Halafu ukute ni limme la mtu! Wanawake wanapitia mengi.
 
Mimi kama muwakilishi wa Ayatollah Khamenei nasema hatuko tayari kwa maongezi yoyote ukiweka ugoko tunaweka chuma hiyo ndo maisha tumeamua Iran tuishi maana dharau imezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…