Kama kweli Simba SC wanamtaka Nyota wa sasa Uganda Cranes Allan Okello waniambie nimalizane nae hapa hapa Kampala kwani nammudu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi kadhaa. Na ndiyo Mchezaji huyu huyu hapa hapa JamiiForums niliwaambia Simba SC nimemwona na atatufaa.

Sitaki 10% yenu ila kama kweli Simba SC mnamtaka na Viongozi mpo hapa JamiiForums upesi sana njooni PM mnipe Contacts zenu ili niwe nawapeni Updates. Ila angalizo moja Kubwa ni kwamba Mmiliki wa Timu yake ya Vipers Tajiri Mulindwa anataka Kumuuza Ubelgiji kwa Bilioni 6 ila mkimuahidi Mshahara mnono atakubali.

Mchezaji mwingine wa Kiganda ambaye atatufaa mno tu Simba SC kama tunamhitaji ni Winga teleza Patrick Kakande.
 
Okello ambaye ni MVP na top scorer wa Uganda ashapata timu Belgium zamani
Yanga walimhitaji wakakuta ashasaini zamani timu ya ligi ya championship Belgium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…