Tetesi: Kama kweli Simba walitaka kumleta Manzoki na Adebayor dirisha dogo,nitaamini hawa viongozi wapo kwa maslahi yao na si ya timu

Tetesi: Kama kweli Simba walitaka kumleta Manzoki na Adebayor dirisha dogo,nitaamini hawa viongozi wapo kwa maslahi yao na si ya timu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Zile tetesi za kuwaleta wachezaji niliowataja hapo juu,ni za kusikitisha sana kwani viongozi wetu wanaendekeza siasa badala ya uhalisia wa mprira wenyewe.

Hata hivyo bado kuna tetesi kuwa coach wa timu amewakataa wachezaji hao kwani kwa sasa hawachezi.

Hawa viongozi wanashindwa kijifunza kwa makosa waliyofanya kwa Luis.

Binafsi nikisikia wameachia nafasi hizo waingie viongozi wengine nitaona wamefanya la maana sana kuliko ilivyo sasa ninaona kama tu wapo kwa maslahi yao binafsi
 
Simba bila kumtoa kafara Try again itazunguka hapo hapo miaka mia
 
Acheni kujikweza hao ni wachezaji wa kiwango kikubwa. Wanaweza kusaidia pale Simba.

Form is temporary, but class is permanent
 
Back
Top Bottom