Kama kweli unamacho

Yomakon

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
638
Reaction score
679
Kama kweli unamacho hebu nambie umeona nini kwenye picha hiyo
 
Pemben kulia ambapo kuna waya wa feni ulioshuka chin na wa chaji ya simu...uki'zoom in utaona macho ya mwanaume tena black American guy anaangalia kamera. Alifichwa chini,though iyo picha ni ya kutengenezwa
we mkali sana aisee
 
[emoji113] [emoji113] salute kwako ndugu
 
Nimemuona jomba mmoja black akitoa mimacho kama anakata gogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…