Simuoni Golden boy hapo Mapung'o,,,Kwenye kikosi hiki View attachment 865461
Yaani nimecheka saaaana umenikumbusha mbaali brotherKwenye kikosi hik
Lodi lofa hajawahi chezea bushi stars....1. kipepe
2. lodilofa
nimeshuhudia sana kule uwanja wa vumbi...hujawai kuniona!?Mmmh! Hivi kumbe na wewe uliwahi kushuhudia match kali ya bush stars?
Mzee meko ....ndio anatisha balaa3. Mapung'o striker hatari
kumbe!!!Lodi lofa hajawahi chezea bushi stars....
[emoji23][emoji23][emoji23]Huna lolote wewe!nimeshuhudia sana kule uwanja wa vumbi...hujawai kuniona!?
nina nini sasa!?[emoji23][emoji23][emoji23]Huna lolote wewe!
manifongo, sholo mwamba, duka makabila, dogo niga, mc sudi, harmonize, hamorapa, wengine mtamalizia
Wewe mtoto wa juzi hicho kikosi huwezi kukijuanina nini sasa!?
Naruhusiwa kujongea ulipo?Nitawaangalia asubhi saizi nipo Marafiki Iromba Mbeya
ndio maana nilikua nabahatisha hapo...nije unielekeze basi rafiki yangu.[emoji3]Wewe mtoto wa juzi hicho kikosi huwezi kukijua
Karibundio maana nilikua nabahatisha hapo...nije unielekeze basi rafiki yangu.[emoji3]