Kweli aisee.Hii ni Bush Stars Lord Lofa hayuko hapo
Born town mtoto wamjini anavaa vizuri yuleHii ni Bush Stars Lord Lofa hayuko hapo
wapi?Karibu
Kabisa, Sani lilikuwa zaidi ya burudani sijui lilikumbwa na nini![emoji848]Kipindi gazeti linachora au linaandika habari unaweza ukafikiri unaangalia muvi
Pimbi na Ndumilakuwili wamjini haoNamwona Kipepe, Madenge, Lodilofa, pimbi, ndumilakuwili na wenzao
Haaahaaa alikuwa nuksi sana huyo3. Mapung'o striker hatari
The place to be... Kula nyama nakuja kulipaNitawaangalia asubhi saizi nipo Marafiki Iromba Mbeya
Katika halihalisi ingewezekana kazi hii familia yake iendelee kunufaika wakiwemo watoto pia zikawekwa ktk electronic kama Tommy na Jerry ambazo muasisi japo hayupo burdan ingalipo1. Kipepe, 2. Lodilofa, 3.nywii, 4, ulanzi, 5. Bob mazishi, 10. Kizibau. Nakumbuka mchoraji alikuwa John Kaduma, mchoraji ambae mpaka sasa sijaona mbadala wake. RIP
Sani limebadilika sana baada kuingiza mambo ya Udaku zaidi ila akina Bawji mimi naamini wangeazisha Blog imgekuwa sawia anyway hakuna gazeti lililoteka fikra za mtanzania katika miaka ya themanini na huenda mpaka leo kama Sani mungu awabariki.Kabisa, Sani lilikuwa zaidi ya burudani sijui lilikumbwa na nini![emoji848]
Kweli, wameshindwa kuendana na kasi ya utandawaziSani limebadilika sana baada kuingiza mambo ya Udaku zaidi ila akina Bawji mimi naamini wangeazisha Blog imgekuwa sawia anyway hakuna gazeti lililoteka fikra za mtanzania katika miaka ya themanini na huenda mpaka leo kama Sani mungu awabariki.
Baby kumbe na wewe ni age ago!1. Komredi Kipepe
2. Lodilofa
Ila bado wana fursa.ila dirisha linajifunga fasta.Kweli, wameshindwa kuendana na kasi ya utandawazi