Leo nimevaa Gongoti nitanazungukaa mitaa kadhaa ya Dsm, kama ukiona gongoti Leo ujue ni Mimi big thinker najaribu kupima uwezo wangu wa Miaka 15 iliyopita.
Nimevaa miwani ya rangi ya njano. Nyuma nimeweka Bango lenye maneno Makali.
Kama ukiyaona tafadhari njoo ukomenti chochote.
Ahsante