Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,522 Reaction score 3,255 May 13, 2023 #1 Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
N nyanda madirisha JF-Expert Member Joined Apr 1, 2019 Posts 411 Reaction score 727 May 20, 2023 #2 Shida siyo hilo neno tajwa. Shida ni wewe unavyojenga picha unapoliskia limetajwa