Kama m2 ana f ya G.s anaweza pata chuo. Shahada??

Mipale Steve

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
384
Reaction score
43
Naomba kuuliza je kama mtu ana F ya Gs kwenye matokeo ya f6 na masomo mengine ana princple 3 kwa mfano
gs- F
bam- s
economics- d
commerce- d
acountant-d

div 3 pts 12
je mtu huyu anaweza kuchaguliwa shahada?? Maana nasikia huwez chaguliwa kama una f ya Gs? Je n kweli?
 
Unasoma kama kawaida wala ucjal coz yyte ile
 
haina tatizo japo imekuchafulia cheti,karibuni vyuoni
 
angalia pia matokeo yako ya BAM "O" level yanaweza kuwa mkombozi zaidi kama ulipata ufaulu wa C na kwenda juu
 
Unapata chuo bla shaka na mkopo utalamba km unavigezo vngne coz kufel Gs co kigezo cha kukosa mkopo.
Karibun vyuoni ila kuwen makin msichague coz zenye cutoff point kubwa kuliko matokeo yenu. Ishu hyo iliwacost weng mwaka 2011/2012. Hongera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…