Kama mabeki wenyewe ni wale wale akina Kapombe, Tshabalala na Che Malone basi kiama chetu kwa Yanga kiko karibu msimu ujao

Kama mabeki wenyewe ni wale wale akina Kapombe, Tshabalala na Che Malone basi kiama chetu kwa Yanga kiko karibu msimu ujao

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mnatuambia Simba mpya inakuja, mnawaimbisha watu kuwa safari ijayo mnyama atakuwa hashikiki, ukiangalia yanayoendelea kwenye App ni Mzamiru, Kapombe, Israel, bado Tshabalala, Kaze, Duchu, kudadeki.Hakuna jipya hapo.

Msimu ujao ni maumivu makali zaidi ya haya ya msimu huu.Rest in Peace mzee wa Rungu.
 
Dogo kwanini usihamie Yanga kwa muda ili usiaibike Simba ikifungwa na Yanga? Sisi wengine ni kama wimbo wa Washabiki wa Liverpool "Simba Will Never Walk Alone!"
 
Mashabiki wa simba huwa mnakuwa na furaha ya kweli siku moja tu ndani ya msimu mzima; siku ya simba day. Baada ya hapo muda mwingi huwa mnautumia kwenye malalamiko tu.
 
Hao mabeki wa pembeni kwa upande wa kushoto yupo Tshabalala na mwenzake Mwenda hakuna tatizo kubwa. Kwa upande wa kulia wa Simba kwa mtizamo wangu nafikiri ndio kuna tatizo kubwa na Simba wanapaswa wachague mojawapo kati ya mambo mawili:-
1. Wamuamini Duchu na Kapombe ndio awe msaidizi wa Duchu au wamuondoe Kapombe wamsajili Kelvin Kijiri aje acheze na Duchu hiyo mbavu ya kulia.
2. Wamsajili Kelvin Kijiri halafu wamtoe Duchu kwa mkopo ili Kijiri na Kapombe wasaidiane hiyo mbavu ya kulia.

Kapombe kwa hivi sasa umri umeenda na anakosa mwendelezo wa moja kwa moja hasa mechi zinapofuatana. Kwa hiyo kwa sasa Simba inatakiwa imtumie Kapombe kwenye baadhi ya mechi tu na si kumchezesha mfululizo ili kupata ubora wake vinginevyo ni kumtafutia tu lawama kwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa Simba.

Angalizo; kiraka Kapombe bado anaweza kutumika kimkakati kwa dakika chache uwanjani kwa baadhi ya mechi kutokana na kuweza kucheza kama beki wa kati na vile vile kiungo. Kazi aliyokuwa anafanya Erasto Nyoni kipindi cha nyuma ndio Kapombe anaweza kuifanya sasa.

Aliye karibu na mwenyekiti wa usajili pale Simba mzee Magori amshtue kuwa kuna mali inaitwa Kelvin Kijiri kwa ajili ya mbavu ya kulia aicheki kama haijasajiliwa na timu yoyote mpaka sasa wampe mkataba fasta atawasaidia sana Simba kwenye msimu unaokuja.

Ni mtizamo tu
 
Mashabiki wa yanga ndio mnatupa ushauri simba?!;
 
Back
Top Bottom