Kwa kila hali mlizidiwa uwezo.Mlipigwa goli mbili kwenu,na kwao mkashinda kwa penalty( goli dhaifu sana) kwa mujibu wenu wenyewe.
Mmelalamikia CAF safari hii sio TFF.Nayo ni maendeleo.
Maelezo mengiiii kweli halafu hayana maanaKwenye hili suala la kuchagua mfungaji bora wa NBC PL endapo wachezaji walio vinara wa ligi watalingana magoli kwa mujibu bodi ya ligi ni kuwa msimu huu sheria zimebadilika za kuamua nani mfungaji bora.
Kwa mantiki bora ni kuwa bodi ya ligi itakaa kikao na kuamua mfungaji bora kati ya Fiston Mayele na Saidi Ntibazonkiza nani anastahili kiatu cha dhahabu, itaamua kwa kuangalia vigezo vya CAF na FIFA ili kutoa kiatu cha mfungaji bora.
Kwa msimu uliopita bodi ya ligi ilikuwa imeweka kila kitu hadharani kuwa ikiwa watalingana magoli wachezaji kwenye vinara wa ligi kuu ni kuwa atakae funga mabao machache ya penati kwenye idadi ya aliyofunga ndie mfungaji bora.
Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi kuu ya Tanzania (NBC PL) kuelekea kuamua mfungaji bora msimu huu! Huu ndio utaratibu.
Huyo uliyemtaja alikuchukulia bwana?Ficha upumbavu basi na wewe Khadija[emoji849]
Wivu wa kike utakuua.Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.
Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!
Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
Ficha ujinga wako kwa kukaa kimyaUTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.
1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.
2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.
3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.
KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.