Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO.

Sababu.
1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda.

(Ndivyo YALIVYO)

2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu.

(Ndivyo YALIVYO)

3. Marafiki wengi wanamatatizo ya akili, usishangae. Wakishindwa kukuambukiza hio hali watakuita adui.

(Ndivyo YALIVYO)

4.
Familia ndio kipaumbele nambari moja. Kinyume na hapo subiri maumivu.

(Ndivyo YALIVYO)
Mwisho. 💥NDIVYO YALIVYO
 
Maajabu ya Gily na wanaomzunguka. Kuna mda nahisi kabisa kuwa mimi ni Alien. .
 
Kwahiyo hubishani na hali ya maisha unakubaliana nayo tu?
 
Back
Top Bottom