Lucky Star JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,874 Reaction score 3,215 Oct 1, 2020 #21 zagarinojo said: Wengine wangechagua kuwa wezi hatari kama Hrithik kwenye Dhoom 2 Click to expand... Napenda movies ambazo ndani yake kuna masuala ya Justice. May be, ningekuwa mfungwa au kudhulumiwa maisha yangu nje ya sanaa.
zagarinojo said: Wengine wangechagua kuwa wezi hatari kama Hrithik kwenye Dhoom 2 Click to expand... Napenda movies ambazo ndani yake kuna masuala ya Justice. May be, ningekuwa mfungwa au kudhulumiwa maisha yangu nje ya sanaa.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Oct 1, 2020 #22 Khantwe said: The Boss itakuwa uliangalia zamani sana Nigerian movies, za siku hizi tamu balaa Click to expand... Kama zipi hizo tamu? Waigizaji wapya au wale wale?Kina mama G?
Khantwe said: The Boss itakuwa uliangalia zamani sana Nigerian movies, za siku hizi tamu balaa Click to expand... Kama zipi hizo tamu? Waigizaji wapya au wale wale?Kina mama G?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Oct 1, 2020 #23 The Boss said: Kama zipi hizo tamu? Waigizaji wapya au wale wale?Kina mama G? Click to expand... Wapo wa zamani wengine wapya
The Boss said: Kama zipi hizo tamu? Waigizaji wapya au wale wale?Kina mama G? Click to expand... Wapo wa zamani wengine wapya