Tetema kijana! Hiyo style tuna mpango wa kuwashawishi BASATA waipitishe rasmi, na kuwa style mpya ya Taifa ya kushangilia.Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
chonde chonde msije mkatuletea style ya bhangi aka ngada ya SakhoMimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
Hata mimi sipendi mambo kama hayo, Ila unahisi usipoenda kusali kisa style za mayele zinatumika kanisani ni hasara kwa Nani!Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
upepo tunapunga mda wa sadaka tafadhali tuheshimu ratibaMuda wa kwaya, Toka nje kapunge upepo
[emoji23][emoji23][emoji23]Muda wa kwaya, Toka nje kapunge upepo
Nenda usabatoni, huko wanaimba wamenyooka kama mti, hakuna make Wala manjonjoMimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
Kaka umevurugwa. Mayelle anavuruga akili za watu. Mayelle ni mtu m'badi.Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
Hata mimi sipendi mambo kama hayo, Ila unahisi usipoenda kusali kisa style za mayele zinatumika kanisani ni hasara kwa Nani!
Hujui kinacho kupeleka kanisani..Mimi huwa nakereka sana katikati ya ibada inasimama kwaya kuimba mwishoni wanaanza kucheza style ya Mayele kwa kupiga mikono na kutetema, hicho kitendo ni cha kipuuzi sana!
Kwanza mnajua huwa anamaanisha nini? Au kila mtu aje na style ya mchezaji anayempenda tucheze kanisani?
Tuheshimu ibada, mwambieni Mayele awakataze mashabiki zake kabla hakijamkuta cha kumkuta!
[B]
Yohana 4:23[/B]