FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
ina maana huyo mtu alikuwa hajui kama mtoto wake amempa mimba m/funzi mwenzie na je hakukuwa na vikao vya kujua mustakabali wa hiyo mimba kati ya wanafamilia hizo pande zote mpk afikie kubwaga mtoto kwa wazazi?Ghafla Bin Vuu mtu anakuja nyumbani kwako na kukuachia mwanae akidai mwanao amempa mimba mtoto wake?she iz 19 yrs old
Na Je wewe mzazi utafanyaje unapopata taarifa juu ya hili la mwanao ni mwanafunzi kampa mimba mwanafunzi mwenzie 21 yrs old ..watoto siku hizi wanaanza utundu mapema sana...............
Mie nimekosa cha kumpa ushauri huyu ndugu Msaada tutani ...................
Si mie jamani ka- baby kangu bado kako kindagateni:A S 39:
ina maana huyo mtu alikuwa hajui kama mtoto wake amempa mimba m/funzi mwenzie na je hakukuwa na vikao vya kujua mustakabali wa hiyo mimba kati ya wanafamilia hizo pande zote mpk afikie kubwaga mtoto kwa wazazi?
Naomba ufafanuzi kidogo naona story kama imekosa ukamilifu
Nitamhoji mdada au binti kupata usahihi. then nitakaa na hiyo familia ya binti kupata muafaka. kijana akikubali awe wife ambae atakuwa ni mwali wangu litajukana. Maamuzi wataamua wao.
DNA test ikithibitisha nitamlea mjukuu wangu.
Hivi vitoto vya leo havijui hata kutumia Kinga ?:confused2:
Tatizo kijana ameitwa amehojiwa sana anadai yeye hajawahi kuwa na uhusiano wowote na Binti..wakati Binti analia anadai ni mimba ya kijana..
kweli ujana mmh..........................
Kimsingi wanakua wako kwenye shock....ukiwapa mda kiasi mnaweza mkaongea vizuri sana...hiyo familia imefanya kosa kuja kumbwaga binti yao bila kuongea na wazazi wenzao kwanza...sasa wakiamua kumfanya house gal itakuwa imekula kwa nani?
Hivi vitoto vya leo havijui hata kutumia Kinga ?:confused2:
Vya zamani vilikuwa vinajua??
...as if kosa ni la huyo kijana PEKEE!this is very wrong
Ghafla Bin Vuu mtu anakuja nyumbani kwako na kukuachia mwanae akidai mwanao amempa mimba mtoto wake?she iz 19 yrs old