Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga?
Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia kina mama?
Mkuu wa mkoa wa Dar anaongoza mapambano ya kuwatukana wajawazito kisa tu yeye na familia yake wanapata matibabu kwa Kodi za Hawa kina mama masikini?
Hili likipita bila kuchukuliwa hatua basi na laana ikawe juu ya taifa hili.