Kama mambo yenyewe ndio haya dada wa kazi wanahaki ya kuwatesa kina Junior

Kama mambo yenyewe ndio haya dada wa kazi wanahaki ya kuwatesa kina Junior

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Kwakweli mabosi hasa wanawake wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia ya baba kazini na mama kazini kurudi jioni.

Wanawake wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwa mantiki nasema wakuwatesa wakina junior ni haki yao kwakweli.

1686595431517.png

HII PICHA INAMAANA KUBWA SANA
 
Huo ni unyasaji.. Dawa yao ndio kuwa komesha kwani nao ni watu na wamepewa akili pia..

Na wengi wa wake wa hivyo ndani ya nyumba ni wabinfsi na huwa wanakumbwa na matukio ya ajabu sana!

Mtoto kawekwa kwenye freezer, Kawashiwa gesi inalipuka baadae nk...
 
Kabsa mm nikisikiaga dada wa kaz kafanya tukio hata liwe la kutisha namna gani na conclude tu kwamba boss ndo anamatatizo dada wakaz karespond tu
 
Kwakwel mabosi hasa wamama wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia yababa kazini na mama kazini kurudi jioni.

Wamama wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwamantiki nasema wakuwatesa wakina junior ni haki yao kwakwel.

View attachment 2655393

HII PICHA INAMAANA KUBWA SANA
Wadada Wana hatma ya wanao. Wadada wanatakiwa kupendwa na kuthaminiwa
 
Kwanza ukiwa na mdada wa kazi hakikisha anakuwa na siku moja ya kupumzika katika wiki,siku hyo wanafamilia mnagawana kazi mnazifanya wenyewe

Pia inatakiwa mumtafutie wa kumgegeda,maana na wao wana nyege,sasa unakuta kuna wamama wanawabana kwel hata wanakosa muda wa kuliwa,wakat hao wamama wenyew kila siku wanabingilika huko mavyumban kwao

Kuna watu huwa nawashangaa unakuta msichana wa kazi wanamlipa 30,000 lakin hapend kumuona kakaa tu eti kisa anampa hela,hela yenyewe elfu 30,unakuta hadi kuna ratiba ya kudeki nyumba mara mbili kwa siku ili tu amchoshe dada wa watu
 
HUO WOTE NI UMASIKINI NDO CHANZO MTU ANALIPWA LAKI NA NUSU ALAFU ANACHUKUA BEKI TATU AILIPE ELFU SABINI SO WANAKUWA HAWATOUTIANI MSHAHARA NDO CHANZO CHA GUBU LA BOSI.
 
Kwakwel mabosi hasa wamama wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia yababa kazini na mama kazini kurudi jioni.

Wamama wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwamantiki nasema wakuwatesa wakina junior ni haki yao kwakwel.

View attachment 2655393

HII PICHA INAMAANA KUBWA SANA
Cha muhimu hapo yeye afanye kilichompeleka. Hakuna haja ya kulipiza kisasi. Akifanikiwa atakula hizo keki hadi acheue.
Kuna watu wanateswa na wazazi wao sembuse yeye housegirl?
Kakeki kenyewe ka elfu tatu utakuta kamejaa icing sugar.
 
Kweli kabisa.
Nilipomuona tu nikatambua huyu ni housemate.

Jana nilikuwa hotel flani ni 5 star kiukweli, nilikuwa ndani nikipita kuelekea uelekeo mwingine kushoto naona buffet, akiwa wa mwisho kajitundika kanga huku kavaa dela na sendol chini so nikaona huruma sana.
 
Si mabosi wao wa mama hawataki mabinti zao wapendeze, yaani shida tu
 
Watanzania wengi nimasikini wenye hali duni halafu wanalazimisha kukaa na mabinti wa kazi.
 
Baba asingefanya hivyo huyo mdada angeshajiondokea zake.
Ukiona wadada wa kazi hawakai muda mrefu ujue aidha mama ana wivu au baba Hana time nao.
 
yeyote aliye MSAIDIZI wa nyumbani kwako, awe dada au kaka, anapaswa kuheshimiwa.....
 
Back
Top Bottom