Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kabsa mm nikisikiaga dada wa kaz kafanya tukio hata liwe la kutisha namna gani na conclude tu kwamba boss ndo anamatatizo dada wakaz karespond tuHuo ni unyasaji.. Dawa yao ndio kuwa komesha kwani nao ni watu na wamepewa akili pia..
Na wengi wa wake wa hivyo ndani ya nyumba ni wabinfsi na huwa wanakumbwa na matukio ya ajabu sana!
Mtoto kawekwa kwenye freezer, Kawashiwa gesi inalipuka baadae nk...
Wadada Wana hatma ya wanao. Wadada wanatakiwa kupendwa na kuthaminiwaKwakwel mabosi hasa wamama wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia yababa kazini na mama kazini kurudi jioni.
Wamama wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwamantiki nasema wakuwatesa wakina junior ni haki yao kwakwel.
View attachment 2655393
HII PICHA INAMAANA KUBWA SANA
Kweli kabisa.Watu wengi hawajui au kuelewa thamani ya hawa wadada.
Akiwasha tu hyo TV penyewe roho inamuuma pia ataanza kumwambia mvivu wakat mtu kaamka toka saa 12 asubh anafanya kaz tu non stopDada angalia TV hyo nkikuta imevinjika na wewe nisikukute.
Mama hazungumzii watoto ye TV Tu ili akirudi aanfalie tamthilia
Wamama wajinga sana wakat mungine. Na ndio maana hua yanatokea ya kutokeaAkiwasha tu hyo TV penyewe roho inamuuma pia ataanza kumwambia mvivu wakat mtu kaamka toka saa 12 asubh anafanya kaz tu non stop
Cha muhimu hapo yeye afanye kilichompeleka. Hakuna haja ya kulipiza kisasi. Akifanikiwa atakula hizo keki hadi acheue.Kwakwel mabosi hasa wamama wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia yababa kazini na mama kazini kurudi jioni.
Wamama wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwamantiki nasema wakuwatesa wakina junior ni haki yao kwakwel.
View attachment 2655393
HII PICHA INAMAANA KUBWA SANA
Nilipomuona tu nikatambua huyu ni housemate.Kweli kabisa.
Si mabosi wao wa mama hawataki mabinti zao wapendeze, yaani shida tuNilipomuona tu nikatambua huyu ni housemate.
Jana nilikuwa hotel flani ni 5 star kiukweli, nilikuwa ndani nikipita kuelekea uelekeo mwingine kushoto naona buffet, akiwa wa mwisho kajitundika kanga huku kavaa dela na sendol chini so nikaona huruma sana.