GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,007 Reaction score 5,290 Dec 26, 2017 #21 XaviMessIniesta said: Eeeh mkuu JF ina mitaa mingi Click to expand... Sawa kiongozi
MLA PANYA SWANGA JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,184 Reaction score 5,435 Dec 26, 2017 #22 Man United kwa sasa inashinda kwa kubabahatisha sana. Iliondoka na babu.
mabwana JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 307 Reaction score 316 Dec 26, 2017 #23 Shunda Omary said: Tatizo la Man U kuna wachezaji hawafai kupangwa muda umekwisha Click to expand... Valencia na ashley young hakuna kitu
Shunda Omary said: Tatizo la Man U kuna wachezaji hawafai kupangwa muda umekwisha Click to expand... Valencia na ashley young hakuna kitu
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,378 Reaction score 29,739 Dec 26, 2017 #24 GUI1 said: Hahaaaa, hivi kwenye hiyo issue ya kushikilia, wanawake wanashika nn? Click to expand... Muulize cute b anaweza akawa anajua maana ni mzee wa Manu.
GUI1 said: Hahaaaa, hivi kwenye hiyo issue ya kushikilia, wanawake wanashika nn? Click to expand... Muulize cute b anaweza akawa anajua maana ni mzee wa Manu.
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 Dec 26, 2017 #25 GUI1 said: Hahaaaa, hivi kwenye hiyo issue ya kushikilia, wanawake wanashika nn? Click to expand... labda wanabana mashavu ya K au ki. nembe
GUI1 said: Hahaaaa, hivi kwenye hiyo issue ya kushikilia, wanawake wanashika nn? Click to expand... labda wanabana mashavu ya K au ki. nembe
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Dec 26, 2017 #26 Nnachowapendea man Utd, Ni kwamba kwny mikeka yangu hawaniangushagi kabisa Kwny idara ya corner bet Wanapiga corner za kutosha.
Nnachowapendea man Utd, Ni kwamba kwny mikeka yangu hawaniangushagi kabisa Kwny idara ya corner bet Wanapiga corner za kutosha.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,276 Dec 28, 2017 #27 barafuyamoto said: Muulize cute b anaweza akawa anajua maana ni mzee wa Manu. Click to expand... Hahahahaha ....mbupu
barafuyamoto said: Muulize cute b anaweza akawa anajua maana ni mzee wa Manu. Click to expand... Hahahahaha ....mbupu