Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 #1 Kama mapenzi ndio hivi basi tena. gharama ya simu tu hata elf10 haifiki bado unapiga kibomu kikubwa hivo duh. Ana wiki haja ku kubip wala kuku sms mara unashangaaaa......... .............Basi tena.
Kama mapenzi ndio hivi basi tena. gharama ya simu tu hata elf10 haifiki bado unapiga kibomu kikubwa hivo duh. Ana wiki haja ku kubip wala kuku sms mara unashangaaaa......... .............Basi tena.
O One Man Army JF-Expert Member Joined Dec 27, 2011 Posts 236 Reaction score 34 May 10, 2012 #2 tatizo ya kutembea na vitoto vya shule...
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 May 10, 2012 #3 Ngoja na mimi nijaribu bahati yangu sasa hivi. . .
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 Thread starter #4 Lizzy said: Ngoja na mimi nijaribu bahati yangu sasa hivi. . . Click to expand... Hahaha,uchokozi huo.
Lizzy said: Ngoja na mimi nijaribu bahati yangu sasa hivi. . . Click to expand... Hahaha,uchokozi huo.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 Thread starter #5 One Man Army said: tatizo ya kutembea na vitoto vya shule... Click to expand... Kwani kutembea na mtoto ni vibaya? au una maanisha nini?
One Man Army said: tatizo ya kutembea na vitoto vya shule... Click to expand... Kwani kutembea na mtoto ni vibaya? au una maanisha nini?
Geraldo DaVinci JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 277 Reaction score 37 May 10, 2012 #6 poor guy kazi anayo
tabibumtaratibu JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 2,414 Reaction score 1,215 May 10, 2012 #7 Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo km ulimzoesha vocha,out na kujisifia kuwa unazo acha aku suprize kidogo.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo km ulimzoesha vocha,out na kujisifia kuwa unazo acha aku suprize kidogo.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 May 10, 2012 #8 Speaker said: Hahaha,uchokozi huo. Click to expand... Naanza na wewe. . . Speaker darling, yani nna hali mbaya kweli leo. Naomba unisadie sh. 50 000 mpenzi wangu. Nakupenda sana. Mwuahhhh! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Speaker said: Hahaha,uchokozi huo. Click to expand... Naanza na wewe. . . Speaker darling, yani nna hali mbaya kweli leo. Naomba unisadie sh. 50 000 mpenzi wangu. Nakupenda sana. Mwuahhhh!
vanilla JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 448 Reaction score 357 May 10, 2012 #9 duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza?
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,849 Reaction score 2,739 May 10, 2012 #10 hana wazazi?
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 May 10, 2012 #11 Mkiombwa pesa mnakuja lalamika....si mlijidai nyie wanaume kuwapeleka out kabla hawajawa wake zenu.
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 May 10, 2012 #12 Siku moja moja sio mbaya lol!
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 Thread starter #13 Lizzy said: Naanza na wewe. . . Speaker darling, yani nna hali mbaya kweli leo. Naomba unisadie sh. 50 000 mpenzi wangu. Nakupenda sana. Mwuahhhh! Click to expand... Haha Lizzy kama kuna watu wagumu kuitikia wito kama wako basi mimi naongoza. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lizzy said: Naanza na wewe. . . Speaker darling, yani nna hali mbaya kweli leo. Naomba unisadie sh. 50 000 mpenzi wangu. Nakupenda sana. Mwuahhhh! Click to expand... Haha Lizzy kama kuna watu wagumu kuitikia wito kama wako basi mimi naongoza.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 Thread starter #14 vanilla said: duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza? Click to expand... Haha, vanilla hiyo simu haitapata mteja maana ni expensive sana. Toleo la kwanza kabisa,saivi hazipatikani kirahisi na ni original sio mchina huyo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
vanilla said: duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza? Click to expand... Haha, vanilla hiyo simu haitapata mteja maana ni expensive sana. Toleo la kwanza kabisa,saivi hazipatikani kirahisi na ni original sio mchina huyo.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 10, 2012 Thread starter #15 Purple said: Siku moja moja sio mbaya lol! Click to expand... vipi moja moja zikiwa nyingi Purple ? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 May 10, 2012 #16 Speaker said: Haha Lizzy kama kuna watu wagumu kuitikia wito kama wako basi mimi naongoza. Click to expand... Hata nikukubembeleza my love? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Speaker said: Haha Lizzy kama kuna watu wagumu kuitikia wito kama wako basi mimi naongoza. Click to expand... Hata nikukubembeleza my love?
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,786 May 10, 2012 #17 dah nkipata hyo msg nafuta na namba yake kabixa tusijuane.!!! Hawakawii kukufanya mdingi wake...
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,829 May 10, 2012 #18 wanaume kazi mnayoo
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 616 May 10, 2012 #19 Mpe mpenzi wako acha ubahili
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 May 10, 2012 #20 Hahahahaha.... Hii ni sababu kuwa katika mapenzi siku hizi ni mtihani mgumu sana... Watu wanaona ni bora kwenda "kubuy" tu.... Sababu hapo, ni unapigwa mizinga na mizinguo kibao!!
Hahahahaha.... Hii ni sababu kuwa katika mapenzi siku hizi ni mtihani mgumu sana... Watu wanaona ni bora kwenda "kubuy" tu.... Sababu hapo, ni unapigwa mizinga na mizinguo kibao!!