Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 May 10, 2012 #21 Yupo mwingine katongozwa leo keshoyake anataka laki 1 na nusu!!
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,878 Reaction score 5,432 May 10, 2012 #22 Hahahahaha ha ha ha nimependa alivyomsevu hapo DARLING Kwahiyo JF umeingiaje mkuu........hahaha
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 May 10, 2012 #23 Mgharamie bana si mpenzio,sasa shida iko wapi? Yani nyie dudu mnataka kuwang'arisha hamtaki basi anza mbele waache wanoweza kulea ati!
Mgharamie bana si mpenzio,sasa shida iko wapi? Yani nyie dudu mnataka kuwang'arisha hamtaki basi anza mbele waache wanoweza kulea ati!
O old traford Member Joined Mar 10, 2012 Posts 35 Reaction score 1 May 11, 2012 #25 mpaka anapokuwa na shida ndiyo anakuita honey......anadaiwa laki moja????.....ha ha haaaaaaaaaaa.....halafu ukifikira hata mzazi wako hujawahi mpatia pesa km hiyo hata siku 1
mpaka anapokuwa na shida ndiyo anakuita honey......anadaiwa laki moja????.....ha ha haaaaaaaaaaa.....halafu ukifikira hata mzazi wako hujawahi mpatia pesa km hiyo hata siku 1
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 May 11, 2012 #26 laki sio pesa lol