Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu.
Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi.
Sisi pia Tanzania kupitia Jeshi letu la Uhamiaji wanapaswa waongeze bidii na umakini kwenye mipaka yetu ili kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu.
Tudhibiti maeneo ya mipaka yetu kote, tufanye misako kwenye miji yote. Vita ya DRC itapelekea wimbi kubwa la wahamiaji haramu tuwe makini kwani wabaya na wazuri wataingia.
Pia soma:
- Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301