Martin Luther alikuwa na hoja za msingi ambazo RC walizikataa enzi hizo lakini kwa neema ya Mungu miaka ya karibuni wamezikubali na kupelekea kutangaza rasmi kuwa Martin Luther hakukosea.Na ibada high level ya upatanisho ya madhehebu haya mawili ilishafanyika kitambo.Kwa sasa ni kanisa moja bali tu kila institution itabaki kama ilivyo na waumini wake na taratibu zao.Japo itachukua miaka kwa sharika na parokia kulibeba hili vizuri ila ibada high level kabisa nakumbuka imeshafanyika.Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.
Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.
Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.
Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.
Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
ungemaliza kusema siku za mwisho kabla ya kufariki alifanya nn ?Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.
Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.
Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.
Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.
Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
wakirisito nyote imani yenu 1 tu kuamini kuwa yesu mungu na maria mama wa mungu pia uamini kuwa huyo mungu alikufa msalabaniHistoria KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.
Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.
Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.
Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.
Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
wakirisito nyote imani yenu 1 tu kuamini kuwa yesu mungu na maria mama wa mungu pia uamini kuwa huyo mungu alikufa msalabani
ukisha kili hivio kutoka moyoni umekuwa mkiristo siji walokole sio uchafu gani hizo ni mbwembwe tu