Mimi huu mwaka sihuhesabii katika Umri wangu.. 2020 Mwaka mbaya Tokea January hadi leo Nov..
Na kakitambi ketu, tunanogaje??Aisee yaaani..Siku zinasonga..usiku mchana usiku mchana...Ukijakuangalia ushakuwa mtu mzima KABISAA...
[emoji3][emoji3][emoji3].....Mimi najiona nishakuwa mtu mzima Sasa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...nimepungua kilo 5 mkuu..Na kakitambi ketu, tunanogaje??
Maisha ya Mwanadamu Ni mafupi Sana Jamani...Hatujui siku Wala saa.. Japo Mimi Sio mtakatifu...nawakumbusha kumrudia Mungu..Tukiwa humu humu JF tukichaluana kwa hoja, January hadi December! Uchaguzi hadi uchaguzi!
Ulianza ukiwa na umri mdogo, Mara paap 35, 40, 45 ,50..... n.k ndo zinasogea hivi kama masihara!
Uzee usikieni tu, maisha ya upweke watoto wakiwa mbali!
TUJIPANGE WADAU
Mkuuu...nakwambia umri hauchelewi... Siku utashangaa um30 hi hapa. Ukiangalia nyuma Ni MAJUTO TU ..Nimekusoma vizuri mjomba... yaani sisi wa under 30 badobado uzee[emoji38]
Sio siri mimi naogopa kuzeeka,Yaani hua nikiona wazee hawana nguvu, ngozi imesnyaaa.Nachoka mnoo [emoji2297][emoji2297][emoji2297]Aisee yaaani..Siku zinasonga..usiku mchana usiku mchana...Ukijakuangalia ushakuwa mtu mzima KABISAA...
[emoji3][emoji3][emoji3].....Mimi najiona nishakuwa mtu mzima Sasa.
Ndo ukazeUzee uja bila hiar!!!
Daaa Kiutani utani nina ¼ Robo karne sahiv daa(25)
Afu ukichek mchezo bado sijaulewa...nimevaa jez tu: