Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello mambo aje JF!

Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya dharau isipokuwa kama una vijisent na vitega uchumi nje na hapo hali ni mbaya sana.

Koo na falme za kimwinyi sijawahi kuona meza inapinduka sijui hili litakuwaje na visa ni vingi sana wanaume tafadhari na chukua hatua hali ni mbaya sana.

Ndoto ya Leo sijaelewa Ina maana gani ila ni nzito sana sana katika huu mwaka tufanye bidii sana sana na kuweka akiba ya kipesa na na nafaka hasa wenye kundi la matatizo yasiyo Isha ama kundi maalumu katika jamii kwa jina rasmi wanandoa.
Ongezeni tafakuri kuna tatizo sehemu.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Back
Top Bottom