mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni
Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo
Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila kama ungezidi asilimia hizo kifuatacho ni fine.
Pompeo akaifuta hiyo sheria kibabe kwa madai ya kulinda barabara,hata wale waliozidisha kilo mbili wakakutana na rungu la bwana mkubwa.
Hanspoppe malori yake mengi yalikamatwa akisafirisha mafuta yaliyokuwa ontransit mkoani iringa.kufika kule akaongea na waziri kwenye simu wakaishia kutukanana tu.
Mungu si mandonga miaka miwili baadae yule waziri akawa Rais wa nchi.,Hanspope jasho likamtoka.
Rais akatuma timu ya maofisa wa idara a kodi kukagua mahesabu ya kampuni ya Hans,wakakuta kila kitu kipo sawa,jamaa alikuwa makini sana.akaona njia pekee ni kumpekenyua kupitia timu ya jezi nyekundu,huko akakuta madudu,akawakamata washirika wake kwenye hiyo timu kumpa alert kuwa the next is you.
Hans akakimbia nchi kupitia njia za panya huko mpaka ulaya akajifanya ameenda kutibiwa.ile anatua ru ulaya akaunti zake zikawa frozen.akawa ombaomba,kampuni ikataka kufa kwa kufungiwa akaunti.
Plea bargain ikawa mkombozi,Bwana mkubwa akageuka hakimu kuwa yale matusi uliyonitukana nikiwa waziri gharama yake bi Bilioni xxxx....ukizilipa sina a na wewe na akaunti zako naziachia.
Hans akakubali akarudi nchini akalipia mabilioni kwa matusi ya mwaka 2013 wala hakulala segerea kama wenzake.
Mtaji wa kampuni ukayumba akawa mtu wa masoneneko mpaka mauti yanamkuta
Who killed Hans?
Wanasema ni covid
Ila nadhani ni sonona
Pesa ulizotafuta kihalali baada ya kutumikia kifungo cha kutaka kumpindua mfalme wa kisiwa then mtu azichukue kwa siku moja kisa mlitukanana?