Kama Mbowe alishindwa uchaguzi wa 2019 na 2020 sababu Magufuli alikuwa Dikteta mbona 2024 pamoja na Maridhiano kafeli vibaya Mno? Huyu ameshachoka tu

Kama Mbowe alishindwa uchaguzi wa 2019 na 2020 sababu Magufuli alikuwa Dikteta mbona 2024 pamoja na Maridhiano kafeli vibaya Mno? Huyu ameshachoka tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Haina haja ya kutafuta Mchawi Mh Freeman Mbowe abakie kama mshauri wa Chama ameshachoka

Freeman tuletee Wakili Msomi Nicole tuhangaike naye Siasani Wewe sasa ni Babu 😂😂😂🔥
 
Back
Top Bottom