Ninachowapenda Makamanda mna moyo sana, tena kuna wanaoamini mama Sami hashindi mitano tena.
Yani Mbowe atawapa fundisho kubwa sana kwamba uchaguzi wa chama cha siasa siyo uchaguzi wa TLS.
Uchaguzi wa Bavicha aliyeshinda anastahili, simjui lakini nimesoma wasifu wake tu ana sifa zote bila kujali anamuunga mkono nani kwenye Uwenyekiti.
Mbowe atawaduwaza.