Kama Mbowe kashindwa kuwaondoa Wabunge 19 bungeni kupitia Maridhiano, BAWACHA ndiyo Wataweza?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa.

Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa ndio wawe Bavicha.

Ni vema tu Chadema waendelee kuimarisha Chama chao kuelekea 2025 na wamachame sasa na hivi viporo vya Shujaa Magufuli vitawapotezea Muda bure.
 
Idumu operesheni Twanga kotekote mtapona tu
 
Me nahisi haya ni maigizo tunafanyiwa. Ile bahasha aliyopewa mbowe ina siri nyingi sana nyumba yake.

Yule mzee ana elements za usaliti hafai kuwa kiongozi. Kiongozi ni msimamo na sio kubadilishwa akili kirahisi na mtu anayewakandamiza.
 
Back
Top Bottom