Kama Mbowe ndiye Kiongozi mkuu wa Chama kikuu Cha upinzani ni heri Mfumo wa Vyama vingi ufutiliwe mbali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ninachokishuhudia Mlimani City ni afadhali kabisa ya vile Vyama 14 Marafiki wa CCM ambavyo havifanyagi uchaguzi

Mbowe hata akishinda bado atadharaulika hadi na rafiki zake Ntobi, Wenje, Yeriko, Sugu na Boni Yai

Halafu Kuna Wajinga wanaoamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD wakati yeye mwenyewe anamsaidia Mwamba kuhonga na kuiba Kura

Ahsanteni 🐼
 
Katika maridhiano binafsi ya wenyeviti wawili hawa hapa chini Sugu hatagombea Mbeya mjini kuna utaratibu umeandaliwa wa kumfidia. Na hata akigombea na Mbowe akiwa mwenyekiti wana CHADEMA hawezi kumpa kura Sugu kamwe na hilo walimweleza live.
IMG_5035.jpeg
 
Sugu Kwenye maridhiano kapangiwa kupewa Jimbo la Makete lakini Dr Mwigullu PhD amekataa Kwa sababu lile ni Jimbo la rafiki yake Sanga 🐼
 
Watamuongezea mtaji apanue Hotel yake ajikite kwenye biashara tu. Hakuna kinachoshindikana Dirham za DP World bado zipo.
 
Ninachokishuhudia Mlimani City ni afadhali kabisa ya vile Vyama 14 Marafiki wa CCM ambavyo havifanyagi uchaguzi

Mbowe hata akishinda bado atadharaulika hadi na rafiki zake Ntobi, Wenje, Yeriko, Sugu na Boni Yai

Halafu Kuna Wajinga wanaoamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD wakati yeye mwenyewe anamsaidia Mwamba kuhonga na kuiba Kura

Ahsanteni 🐼
Wewe si ccm.. :ABDULpls:
 
Back
Top Bottom