johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika maridhiano binafsi ya wenyeviti wawili hawa hapa chini Sugu hatagombea Mbeya mjini kuna utaratibu umeandaliwa wa kumfidia. Na hata akigombea na Mbowe akiwa mwenyekiti wana CHADEMA hawezi kumpa kura Sugu kamwe na hilo walimweleza live.Ninachokishuhudia Mlimani City ni afadhali kabisa ya vile Vyama 14 Marafiki wa CCM ambavyo havifanyagi uchaguzi
Mbowe hata akishinda bado atadharaulika hadi na rafiki zake Ntobi, Wenje, Yeriko, Sugu na Boni Yai
Halafu Kuna Wajinga wanaoamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD wakati yeye mwenyewe anamsaidia Mwamba kuhonga na kuiba Kura
Ahsanteni 🐼
Sugu Kwenye maridhiano kapangiwa kupewa Jimbo la Makete lakini Dr Mwigullu PhD amekataa Kwa sababu lile ni Jimbo la rafiki yake Sanga 🐼Katika maridhiano binafsi ya wenyeviti wawili hawa hapa chini Sugu hatagombea Mbeya mjini kuna utaratibu umeandaliwa wa kumfidia. Na hata akigombea na Mbowe akiwa mwenyekiti wana CHADEMA hawezi kumpa kura Sugu kamwe na hilo walimweleza live.
Na ruzuku 🐼Ya ngoswe.....
Watamuongezea mtaji apanue Hotel yake ajikite kwenye biashara tu. Hakuna kinachoshindikana Dirham za DP World bado zipo.Sugu Kwenye maridhiano kapangiwa kupewa Jimbo la Makete lakini Dr Mwigullu PhD amekataa Kwa sababu lile ni Jimbo la rafiki yake Sanga 🐼
Wewe si ccm..Ninachokishuhudia Mlimani City ni afadhali kabisa ya vile Vyama 14 Marafiki wa CCM ambavyo havifanyagi uchaguzi
Mbowe hata akishinda bado atadharaulika hadi na rafiki zake Ntobi, Wenje, Yeriko, Sugu na Boni Yai
Halafu Kuna Wajinga wanaoamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD wakati yeye mwenyewe anamsaidia Mwamba kuhonga na kuiba Kura
Ahsanteni 🐼