Kama mbwai iwe mbwai, viongozi wa Simba vunjeni kibubu mchukueni Mayele na Diarra!

J93

Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
55
Reaction score
159
Ndio kwani shida ipo wapi bhana?

Kama hela kwenye kibubu hamna, semeni mashabiki na wanachama tutachanga kuhakikisha Simba inawafanyia umafia na kuivunja vunja yanga kipindi hiki!

Raha ya mashabiki wa simba ni kuona yanga(utopolo) ikisambaratika na kuibuka migogoro isiyotatulika!
Yanga kwa sasa ni kama wameshiba na kuvimbiwa ndio maana wanaweza kuingiza siasa zao na kutishia kuwachukua wachezaji wa simba na mashabiki wakapata sintofahamu!

Hivyo simba itumie njia zote za kimafia inazozijua kuhakikisha kwanza wanamchukua Mayele haraka iwezekanavyo na kisha golokipa wao Diarra!

Haiwezekani utopolo itawale kipuuzi puuzi wakati Simba ina viongozi hodari. weledi na majasusi wa mpira!!!
 
Yanga inaweza kufanya vizuri kolos ikiwa chini ya mo na bila migogoro,ila kolo kamwe hawezi kufanya vizuri Yanga ikiwa imetulia na ndio maana hata kipindi mlipozidiwa mkaamua kuleta fitna kwa manji na baada ya hapo mkatawala soka la bongo,ndio maana mnaombea kila siku Yanga isambaratike hamna namna tu ya kufanya
 
ujumbe wa leo wa barbara ndo unawafaa watu km nyinyi...umeanza kuruhusu stress mapema hivi ligi ikianza hutoboi huu mwaka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…