Kama kweli Flora Mbasha anamwita Gwajima mjomba kwa maana ya kuwa ni kaka wa mama yake, kwa nini mumewe alikuwa na wasiwasi naye kuwa ndo chanzo cha mgogoro wa mahusiano ya ndoa yake kwa kuishi naye kwake kisha kumpangia hotel badala ya Flora kwenda kwao?
Ina maana alikuwa hamjui?
Kwa nini Flora kajitokeza sasa kwenye media kueleza uhusiano huo wa kindugu na sio mwanzoni?
Kwa nini Gwajima kama ni mjomba hakumsaidia ada watoto walipokwama akasubiri hadi Flora ametoka kwa mumewe na kwenda kwake?