FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Anaitwa "makebo" !Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini
Nilijua tu hautakosa kwenye comments🤣Kumekucha!
Nikiona tu makebo navurugwa mkuu heri ningezaliwa kiumeni😂Nilijua tu hautakosa kwenye comments🤣
🤣🤣 makebo imekuwa msamiati mpya aiseeNikiona tu makebo navurugwa mkuu heri ningezaliwa kiumeni😂
😅Huyu Makebo kwani na yeye anamakebo makubwa?
Acha tu mkuu kila Uzi nakutana nayo🙌🏾🤣🤣 makebo imekuwa msamiati mpya aisee
Unavurugwaje kwa mfano, au una hormone zetu !Nikiona tu makebo navurugwa mkuu heri ningezaliwa kiumeni
🤣🤣 kuna chapati imeingia mzigoni, siku hizi vijana wamefunga PM anapata tabu sana kama uongo ata reply comment yangu 🤣🤣Acha tu mkuu kila Uzi nakutana nayo🙌🏾
Sivurugwi kihisia so sina hormones zenu!Unavurugwaje kwa mfano, au una hormone zetu !
Khee hapo secretarybird hajaja na ushuhuda bado mambo ni mob! uwii😃🤣🤣 kuna chapati imeingia mzigoni, siku hizi vijana wamefunga PM anapata tabu sana kama uongo ata reply comment yangu 🤣🤣
🤣🤣Khee hapo secretarybird hajaja na ushuhuda bado mambo ni mob! uwii😃
Anipeleke nikayaongeze tu aisee😅