Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hawalipwi mshahara mkuu.Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna sheria barua za serikali ya mtaa ulipie JITAMBUE
Mgombea ambaye sita mchagua ni yule atakaye wakilisha ccm,Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna sheria barua za serikali ya mtaa ulipie JITAMBUE
wanuza viwanja, wanakusanya ushuru mdogo mdogo wanatia mfukoni, kesi ndogo ndogo zinazoenda hapo hakuna kutoka bure kianzio ten na kuendelea, wanapata hela nyingi za rushwa rushwaTatizo hawalipwi mshahara mkuu.
Hawana vyanzo vya mapato, sielewi kwanini watu wanagombania hivyo vyeo!
Au sababu ndiyo hiyo ya kujiombeleza vi2000?
kwamba hilo ndiyo jambo la maana sana? unatafuta nini na hizo barua hata ulalamikie elf2 tu gentleman?Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna sheria ulipie barua za serikali ya mtaa JITAMBUE
Kama anakuokolea muda kwa hizo tsh 2000, sioni tatizo 🐼Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna sheria ulipie barua za serikali ya mtaa JITAMBUE
Ukitaka barua ya bure uje na karatasi umeprinti kabisa maana hizi ofisi haziletewi bajeti ya uendeshaji. Huvyo bure bure haipoUsikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna sheria ulipie barua za serikali ya mtaa JITAMBUE
Bora nyie huku kwetu ni kuanzia elf 5Wapi huko ambako bado wanaomba buku mbili?
Sawa mwenyekiti mgombea Kwa utetezi wako dhidi ya kupokea rushwaHapewi mshahara, stationary, posho pia wengi wao nyumba zao zimekuwa ofisi na hawalipwi kodi ya pango, familia zao zimekuwa zikisumbuliwa usiku kucha kusuluhisha kesi za mke /mme, watu wanaogombana tena kesi zingine za walevi. Kwa kweli wanafanya kazi kwenye mazingira magum na wanastahili kuomba hizo buku2
Siyo Rushwa Hela ya kubrashi viatu 🐼Sawa mwenyekiti mgombea Kwa utetezi wako dhidi ya kupokea rushwa
wanapiga mabilioni wengine wanazungumzia buku mbili 🙄 !Hapewi mshahara, stationary, posho pia wengi wao nyumba zao zimekuwa ofisi na hawalipwi kodi ya pango, familia zao zimekuwa zikisumbuliwa usiku kucha kusuluhisha kesi za mke /mme, watu wanaogombana tena kesi zingine za walevi. Kwa kweli wanafanya kazi kwenye mazingira magum na wanastahili kuomba hizo buku2
Mbona sheia ambae ni sawa na mwenyekiti huko zanzibar wanalipwa?Sawa mwenyekiti mgombea Kwa utetezi wako dhidi ya kupokea rushwa
Hiyo kaz ni ngumu sana,niliwah kuishi karibu na mwenyekiti wa kitongoji yaan kuna baadhi ya siku walikuwa wanakesha usiku kucha wanasuruhisha kesiHapewi mshahara, stationary, posho pia wengi wao nyumba zao zimekuwa ofisi na hawalipwi kodi ya pango, familia zao zimekuwa zikisumbuliwa usiku kucha kusuluhisha kesi za mke /mme, watu wanaogombana tena kesi zingine za walevi. Kwa kweli wanafanya kazi kwenye mazingira magum na wanastahili kuomba hizo buku2