Kama Mgunda anakigezo napendekeza awe Kocha Mkuu wa SSC

Mgunda ni kama makocha wengine tu wazawa taaluma zao ni takataka mbele ya viongozi wa timu. Haiwezi kani mgunda mwili wote ule ashindwe kutofautisha kati yes ya Kibu D na Boko kuna kitu kati sio bure.
 
Nilitegemea sana sub ya kibu aingie sakho. May be aliona tofauti na sisi.
 
Mmeanza kuhemkwa mikia!! Kesho tu mnabadilika
 
Kikosi kinachezeshwa kihisani ni aibu kubwa sana hadi kwa rais wa nchi kufumbia macho na kuwaacha ccm kuendelea kuwatumia Boko haramu kwenye mambo ya CUF

Back
Top Bottom