Kama mikutano ya CHADEMA ndio hii, ninamuhurumia sana Bernard Membe

Huwezi kujudge kwa mkutano mmoja tena ulioitushwa haraka haraka,,walipaswa kufungua kampein jumapili,🤗mind za watu zilikuwa hazijaclick uelekeo wa kampeini
 
Nchii imejaa matahira, mmewatisha, mmewafunga mmewapiga risasi, mmewaua, mmewakataza wasifanye siasa na bado mnawawekea mapingamizi wasigombee.

Lakini bado hamjiamini,

Lissu atashinda kwa kishindo
Mwitikio wa Jana kule mbagala Ni indicator nzuri
Kupigwa risasi sio SERA akina Mandela walifungwa .
Sasa kama sera ni risasi suluhisho ni kuwa na bullet proof. Tuvae nchi zima kujihami na wadunguaji
 
Kumbukeni kampeni inafanyika dar siku tatu, kwa hiyo,hiyo siyo dar yote kuna maeneo hawajaenda hapo wanawasubiria waende leo mfano kawe, lakini ingekuwa kampeni dar ni siku moja ungeona nyomi la kufa mtu,muwe mnatumia akili.
 
Wangejipanga vipi wakati walikuwa kwenye gereza la kisiasa ?
 
Naomba kuwajua wagombea was ccm walioenguliwa kwa sababu zozote then uje tudiscuss kama kuiongelea ilani ya chadema ya uchaguzi ilikuwa muhimu for yesterday

Na kama ccm ina wagombea smart kuzidi hawa wa upinzani kwamba hawana pingwmizi lolote kutoka kwa tume why wakiingia bungeni wanaishia kusema NDIYOOOOOO
 
Huwezi kujudge kwa mkutano mmoja tena ulioitushwa haraka haraka,,walipaswa kufungua kampein jumapili,[emoji847]mind za watu zilikuwa hazijaclick uelekeo wa kampeini
Yaani ulichoandika hapa ndio kutojipanga kwenyewe!

Kulikuwa na uharaka gani wa kuitisha mkutano wa haraka haraka bila kujipanga vizuri?

Ukweli ni kuwa CHADEMA hawajajipanga vizuri!
 
Pamoja na CHADEMA kuchagua sehemu yenye uwanja mdogo katika ufunguzi wa kampeni lakini hata kuujaza walishindwa!
Unaleta ushahidi wa picha ya TBC? Pumbavu kabisa, wameweka picha ya saa 5 ndiyo wanatuaminisha nfiyo mahudhurio ya wananchi hayo? Ndiyo maana Mbowe aliwatimua uwanjani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…