Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi iPhone kuna moja feki nyingine original, taja kulia feki au kushoto original tujue kama unatambua hili.
1.Kulia......
2. Kusoto.......
View attachment 1479861
Tofauti kubwa ni kwamba original IOS lazima iwe na access ya apple ID,I cloud na apple store na upaweza kuzi access ukishasign in. Ndo maana simu ya kushoto pale juu kabisa inahimiza ku sign in. Huwezi kutumia mpaka usign in. Unaweza kutengeza software interface ifanane na IOS lakini hwezi ku fake apple ID,I cloud,apple store etc etc.Iyo 1 unayosema ni feki au original, tuambie tofauti kati ya feki na original