kama mkazi wa dar na umechaguliwa kujiunga na chuo

kama mkazi wa dar na umechaguliwa kujiunga na chuo

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
51
Reaction score
2
kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko tayari kutoa fedha kuanzia tsh 100000
 
iv kumbe laki kuna mtu anaweza kutumia kama accomodation
 
Back
Top Bottom