G GABE100 Member Joined Mar 27, 2012 Posts 51 Reaction score 2 Oct 4, 2012 #1 kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko tayari kutoa fedha kuanzia tsh 100000
kwa wale wanachuo wakazi wa dar es salaam waliobahatika kupata vyumba vyuoni au hostel ninatafuta mtu wa kuniuzia room au kunibeba si mnajua accomodation shida katika vyuo vyote vya dar. niko tayari kutoa fedha kuanzia tsh 100000
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 118 Oct 4, 2012 #2 iv kumbe laki kuna mtu anaweza kutumia kama accomodation