Kama mmefungia mitandao ya ngono fungieni na Twita.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Twita kumejaa watu wabaya wanaotukana taifa letu. Watu wasiopenda amani ya taifa letu.

Wengine wana viburi vya kutokamatwa kwa sababu baba zao walikuwa mawaziri na marais

Twita hapafai hata kidogo kwa amani ya taifa letu.

Twita ifungiwe kama porn zilivyofungiwa.
 
Umevaa chupi? Naona una hamu.
Mdogo wangu nakusaidia jambo dogo sana twita kumejaa vichwa kama ilivyo jf isipokuwa enyi watoto wachache..
Hivyo kukusaidia download VPN huko plystore ili uendele kufaidi kosa langi nini?! Mwanangu..
Baba yako mimi
 
Twita kumejaa watu wabaya wanaotukana taifa letu. Watu wasiopenda amani ya taifa letu.

Wengine wana viburi vya kutokamatwa kwa sababu baba zao walikuwa mawaziri na marais

Twita hapafai hata kidogo kwa amani ya taifa letu.

Twita ifungiwe kama porn zilivyofungiwa.
Wote watu wa porn mna smartphone , shida ya nini kupambana na hawa akina ewura wakatii kuna VPN tena bure tu !
 
They do know kwamba porn sites zinapunguza stress levels kwenye jamii kwa kiasi kikubwa cha ubakaji; wanaoziachia sio kwamba wao wapumbavu.
 
Twita kumejaa watu wabaya wanaotukana taifa letu. Watu wasiopenda amani ya taifa letu.

Wengine wana viburi vya kutokamatwa kwa sababu baba zao walikuwa mawaziri na marais

Twita hapafai hata kidogo kwa amani ya taifa letu.

Twita ifungiwe kama porn zilivyofungiwa.
Huridhiki tu? Twitter sio adui wa CCM, adui wa CCM ni mwamko wa Watanzania.

Kwa miaka mingi mmedanganya watu kwamba Mwenge unaleta amani pasipo na amani, wakati wa vita ya Kagera Mbona hamkupeleka Mwenge Kagera na badala yake mkapeleka wanajeshi na zana za kivita?
 
Back
Top Bottom