"Kama mnataka mali mtazipata shambani"

Mqshamba yapo, majembe yapo, mvua zipo, vijana wapo. Tutakosaje mali
 
Daaah ahsante mkuu. Mpk nafika darasa la 4 hilo, nilikuwa nalipa ada 100 noti ya blue, shuleni napewa stationary zote, Mwl wa kike kama mama, daah! Zamani wee acha tu!
Halafu walimu wa kike walikuwa na harufu zao fulani hivi nzurinzuri.
 
Nikiliwaza hili shairi taswira ya mnyama asiyejua chochote akielimishwa, inanijia....

Waza hili shairi vizuri halafu mpenzi msomaji nisaidie, je sisi kiasili ni wanyama au binandamu kama tunavyojinasibu, kwanini hizi ndio nyimbo zilitumika kujenga taifa??
 
Muulize bashe kazipata shambani au vibari feki
 
90s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…