Kama mngejua utamu wa online casino, msingebashiri mpira wa miguu

Kama mngejua utamu wa online casino, msingebashiri mpira wa miguu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hi!

Casino ninaona inalipa kuliko hata kubashiri mpira wa miguu.
Kwenye casino kuna pesa ya chap, sema haitaki tamaa. Ukija na malengo chungu mzima lazima ulizwe.

Casino ukidepose 100,000, ndani ya dk 5 tu unafurahi au unahudhunika. Yaani iko hamsini kwa hamsini.

Mpira wa miguu possibility ya kushinda kwa mteja unapewa 15-25%, ambapo online casino kushinda ni 50%.
 
Sio ivyo mwana mambo ayaendi ivyo,hata kwenye mpira kuna mpaka mara nne ya unachoweka kwa soko moja mechi moja.
 
Casino na betting zinatumaliza watanzania yaani hata imani inaanza kupotea. Nipo kwenye sala naanza kufikiria namba za kucheza kamari badala ya kumyenyekea Mwenyezi Mungu.
Huko duniani ndio wanacheza casino na kubet. Huku mnajaribu
 
Ubaya wa casino unaweza kupoteza million 1 Kwa saa1 tu yani tofauti na bet unaweza kuendelea na mishe zako tu.
 
Back
Top Bottom