Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huko duniani ndio wanacheza casino na kubet. Huku mnajaribuCasino na betting zinatumaliza watanzania yaani hata imani inaanza kupotea. Nipo kwenye sala naanza kufikiria namba za kucheza kamari badala ya kumyenyekea Mwenyezi Mungu.