Kama Mourihno katimuliwa kwa nini " kocha wa taifa stars" asitimuliwe kabla mambo hayajawa mabaya zaidi?

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
1,125
Reaction score
1,180
kila mtanzania mwenye akili timamu anaona jina timu yetu pendwa "taifa staz" inavyoboranga kila nyanja ya "burudani " timu [meli ya danganyika]mashabiki wenye kuchumia matumbo wamepigwa upofu hawaoni ,wamekuwa viziwi wala hawawezi kusikia mayawe ya mashabiki wazalendo kuwa tunapoteza mchezo,[hawawezi kuisikia mayowe ya abilia wa meli yetu kuwa inazama wamwambie nahodha].hawawezi kumuambia ukweli mchungu maana wnajua kuwa "mourihno" wetu kilevi chake kikuu ni sifa .nani mwenye ubavu wa kumzuia "Mourihno" wetu kuongeza mkataba mwingine wa miaka mitano tena japo timu imemshinda?wachezaji wote wa kikosi cha kwanza hawachezi kwa moyo mmoja ,kapteni "pogba' hana raha akakemewa hadharani ,kumbuka issue ya " karanga " pale O.T .
Watangulizi wake hakuna anaethubutu kumkosoa mbinu zake haram na mbovu.
 
Kwaupande wetu sizani kama nibusara kumtimua kocha mapema hivyo, tukumbuke huyu kocha uata mazingira yetu hayajui, nafikiri ligi yetu isiyo na mdhamini ikiimarishwa kwanza itasaidia kupata Taifa Star iliyo bora. Napia misngi ya wachezaji wetu ni hovyo kabisaa.
 
"Mourinho " wetu alipota tetez kuwa zidane anainyemelea nafasi yake kaja juu
 
kila mtanzania mwenye akili timamu anaona jina timu yetu pendwa "taifa staz" inavyoboranga kila nyanja ya "burudani " timu [meli ya danganyika]mashabiki wenye kuchumia matumbo wamepigwa upofu hawaoni ,wamekuwa viziwi wala hawawezi kusikia mayawe ya mashabiki wazalendo kuwa tunapoteza mchezo,[hawawezi kuisikia mayowe ya abilia wa meli yetu kuwa inazama wamwambie nahodha].hawawezi kumuambia ukweli mchungu maana wnajua kuwa "mourihno" wetu kilevi chake kikuu ni sifa .nani mwenye ubavu wa kumzuia "Mourihno" wetu kuongeza mkataba mwingine wa miaka mitano tena japo timu imemshinda?wachezaji wote wa kikosi cha kwanza hawachezi kwa moyo mmoja ,kapteni "pogba' hana raha akakemewa hadharani ,kumbuka issue ya " karanga " pale O.T .
Watangulizi wake hakuna anaethubutu kumkosoa mbinu zake haram na mbovu.
Amunike hana shida ila Tz hatuna wachezaji,wengi ni vilaza hawajitambui
 
Back
Top Bottom