Janken jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,125
- 1,180
kila mtanzania mwenye akili timamu anaona jina timu yetu pendwa "taifa staz" inavyoboranga kila nyanja ya "burudani " timu [meli ya danganyika]mashabiki wenye kuchumia matumbo wamepigwa upofu hawaoni ,wamekuwa viziwi wala hawawezi kusikia mayawe ya mashabiki wazalendo kuwa tunapoteza mchezo,[hawawezi kuisikia mayowe ya abilia wa meli yetu kuwa inazama wamwambie nahodha].hawawezi kumuambia ukweli mchungu maana wnajua kuwa "mourihno" wetu kilevi chake kikuu ni sifa .nani mwenye ubavu wa kumzuia "Mourihno" wetu kuongeza mkataba mwingine wa miaka mitano tena japo timu imemshinda?wachezaji wote wa kikosi cha kwanza hawachezi kwa moyo mmoja ,kapteni "pogba' hana raha akakemewa hadharani ,kumbuka issue ya " karanga " pale O.T .
Watangulizi wake hakuna anaethubutu kumkosoa mbinu zake haram na mbovu.
Watangulizi wake hakuna anaethubutu kumkosoa mbinu zake haram na mbovu.